Jumatano, 30 Aprili 2014

SIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO MPYA WA,Steve RnB - She Dance |mkamanga.blogspot

shamir

Alhamisi, 24 Aprili 2014

Ijumaa, 11 Aprili 2014

Jumatatu, 7 Aprili 2014

JAMAA HUYU AVUNJA REKODI, AMWAGA MACHOZI KISA TU APIGE PICHA NA DIAMOND. JIONEE HAPA burudani JAMAA HUYU AVUNJA REKODI, AMWAGA MACHOZI KISA TU APIGE PICHA NA DIAMOND. JIONEE HAPA

shamir



  HIKI NDO ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSANA NA TUKIO HILO
 Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada
 ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA
 kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana 
aliyeangua kilio  akishinikiza anione
 na kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani nina
 watu out there walio upande wangu,watu
 wanaonipenda kwa dhat kabisa.
nikiwa backstage
 kulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyu
ambae
bahat mbaya sikuweza kumwona mapema..
mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikiza
 apewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulingana
 na utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo 
alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata 
nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kulia
 mpka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..
nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwa
 kuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupiga
 picha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!
NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU
 Backstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha wote
 Nikijaribu kumbembeleza 
  akimpa mkono,lakini hii haikuwa shida yake,alitaka wapige picha tena 

Ilinibidi Diamond ashuke kabisa kwenye gari ,akazungumza
 nae nakupiga picha ndipo akatulia