Jumamosi, 31 Mei 2014

New Track Ghosta FT Kadgo & Double_Bless Mkamanga.Com

shamir

Ijumaa, 9 Mei 2014

FUMANIZI:- MSANII JACO BEAT a.k.a Mr. kilaza ACHAFUA HALI YA HEWA BAADA YA CAMERA YA MKAMANGA KUMNASA LIVE BILA CHENGA........

shamir
Msanii maarufu kutoka dodoma anajulikana kama JACO BEATS ali maarufu KILAZA hivi majuzi amefumwa na kamera yetu maeneo ya HOTEL maarufu mjini DODOMA inayotambulika kwa jina la AFRICAN DREAMZ akidendeka na mtoto huyu inasemekana ni wakigogo kutoka serikalini hivyo inasemekana kijana huyu KILAZA anatafutwa kwa hudi na uvumba kwa kitendo cha kumchafua mtoto wake /msanii huyu ambaye watu wanasubiria video yake kwa hamu...................