By @djhaazu It's Official NIMEJIUZULU Kufanya kazi Mambo Jambo Radio MJ FM Arusha as a Production Manager, Producer, Presenter, Dj, Event Organizer and IT Tech kwa Maamuzi yangu Mwenyewe bila kushinikizwa na Mtu.Ahsanteni wasikilizaji wangu, Wasanii wote tuloshirikiana na Ahsante kwa Management na Wafanyakazi wote wa MJ FM Tutazidi kushirikiana Inshaalah.
LEO NIMEANZA RASMI KAZI @radio5fm Nisikilize kwenye POSITIVE MOOD Saa Tisa na Nusu Mchana na kuendelea
Radio 5 FM frequencies:
Arusha 105.7fm
Dar 91. 3Fm
Mwanza 92.5fm
Mbeya 93.8fm
Dodoma 88.6fm
Morogoro 94.8fm
Tanga 98.9fm
Mtwara 94.5fm
LEO NIMEANZA RASMI KAZI @radio5fm Nisikilize kwenye POSITIVE MOOD Saa Tisa na Nusu Mchana na kuendelea
Radio 5 FM frequencies:
Arusha 105.7fm
Dar 91. 3Fm
Mwanza 92.5fm
Mbeya 93.8fm
Dodoma 88.6fm
Morogoro 94.8fm
Tanga 98.9fm
Mtwara 94.5fm
0 maoni:
Chapisha Maoni