Jumanne, 13 Oktoba 2015

CDA YAKANA MAVUNDE KUITUMIKIA UWAKILI,MGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI,anthony peter mavunde




Nawashukuru AzamTV kwa kuandaa mdahalo wa wagombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini leo katika ukumbi wa VETA HOTEL kuanzia saa 1 usiku.
Leo naamini wanaDodoma mtatupima vizuri na kuamua kura yenu idondokee wapi.
Lakini pia nafurahi leo ninapata nafasi kukutana ana kwa ana na wale walionizushia uongo na kunichonganisha na wananchi waliopata athari juu ya kubomolewa nyumba zao na kunyang'anywa ardhi kwa kutunga uongo kwamba mimi ni wakili wa CDA.
Natumaini leo wanaDODOMA watapata ukweli juu ya suala la CDA.

shamir

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 maoni:

Chapisha Maoni