Jumatano, 5 Novemba 2014

KIFIMBO FM TOUR NA RAHA ZA PWANI


KIFIMBO FM WANAKULETEA BOMBA LA SHOW KALI KUTOKA KWA WASANII WAKALI KUTOKA DODOMA NA NJE YA DODOMA ,TOUR IYO KWA SASA ITAANZA KATIKA SEHEMU MBALI MBALI ZA MJI WA DODOMA NA VIJIJI VYAKE,KWA SASA TOUR IYO ITAANZA SIKU YA I JUMAA HII NA JUMA MOSI KATIKA VIWANJA VYA NZUGUNI CHUO NA HOMBOLO BAADA YA HAPO ITA ENDELEA KATIKA SEHEMU NYINGINE AMBAZO ITA TANGAZWA,NA MWISHO WA TOUR IYO KUTAKUWA NA SUPRISE YA WASANII WA KALI AMBAO MTAJULISHA HAPO BADAE

shamir

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 maoni:

Chapisha Maoni