r.i.p MATEI AMBAYE ALIYEKUWA MMILIKI WA MATEI LOUNGE,AMEFARIKI DUNIA JANA JIONI AKITOKEA MOROGORO MSIBANI JANA,AMBAPO UMO NDANI ALIKUWEPO BOSS NGASSA AMBAYE NAE MAUTUTI MMILIKI WA WEBSITE YA BOSSS NGASA THE OFFICIAL WEBSITE,NAWENGINE WAPO HOSPITAL YA GENERAL MJINI DODOMA,MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI,NA AWASAIDIE WAIOPO HOSPITAL WAPONE
0 maoni:
Chapisha Maoni